Bản dịch ý nghĩa nội dung Qur'an - Bản dịch tiếng Swahili - 'Ali Muhsin Al-Barwani

external-link copy
64 : 26

وَأَزۡلَفۡنَا ثَمَّ ٱلۡأٓخَرِينَ

Na tukawajongeza hapo wale wengine. info

Tukawajongeza Firauni na kaumu yake mpaka wakaingia kwenye zile njia nyuma ya Musa na kaumu yake.

التفاسير: