Traducción de los significados del Sagrado Corán - Traducción al suajili - Ali Muhsen Alberwany

external-link copy
64 : 26

وَأَزۡلَفۡنَا ثَمَّ ٱلۡأٓخَرِينَ

Na tukawajongeza hapo wale wengine. [64] info

[64] Tukawajongeza Firauni na kaumu yake mpaka wakaingia kwenye zile njia nyuma ya Musa na kaumu yake.

التفاسير: