Bản dịch ý nghĩa nội dung Qur'an - Bản dịch tiếng Swahili - 'Ali Muhsin Al-Barwani

external-link copy
90 : 26

وَأُزۡلِفَتِ ٱلۡجَنَّةُ لِلۡمُتَّقِينَ

Na Pepo itasogezwa kwa wachamngu. info

Na Pepo itajongezwa, na itakaribishwa pahala pa watu wema. Basi wataiendea wale walio jikinga na ukafiri na maasi, na wakaikubali Imani na ut'iifu duniani.

التفاسير: