Bản dịch ý nghĩa nội dung Qur'an - Bản dịch tiếng Swahili - 'Ali Muhsin Al-Barwani

external-link copy
52 : 28

ٱلَّذِينَ ءَاتَيۡنَٰهُمُ ٱلۡكِتَٰبَ مِن قَبۡلِهِۦ هُم بِهِۦ يُؤۡمِنُونَ

Wale tulio wapa Kitabu kabla yake wanakiamini hiki. [52] info

[52] Wale ambao tuliwateremshia Taurati na Injili kabla ya kuteremka Qur'ani, na wakaviamini vitabu hivyo viwili, na wakasadiki yaliyo tajwa humo juu ya khabari za Muhammad na Kitabu chake, hao wanamuamini Muhammad na Kitabu chake.

التفاسير: