Kur'an-ı Kerim meal tercümesi - Savahili Dili Tercüme - Ali Muhsin Al-Barvani

external-link copy
167 : 37

وَإِن كَانُواْ لَيَقُولُونَ

Na walikuwapo walio kuwa wakisema:. info

Na walikuwapo makafiri wa Makka kabla ya kuteuliwa Mtume s.a.w. ambao wakisema:

التفاسير: