Prijevod značenja časnog Kur'ana - Prijevod na svahili jezik: Alija Muhsin el-Bervani.

external-link copy
167 : 37

وَإِن كَانُواْ لَيَقُولُونَ

Na walikuwapo walio kuwa wakisema:. [167] info

[167] Na walikuwapo makafiri wa Makka kabla ya kuteuliwa Mtume s.a.w. ambao wakisema:

التفاسير: