แปล​ความหมาย​อัลกุรอาน​ - คำแปลภาษาสวาฮิลี - อะลีย์ มุห์สิน อัลบัรวานีย์

external-link copy
16 : 81

ٱلۡجَوَارِ ٱلۡكُنَّسِ

Zinazo kwenda, kisha zikajificha, [16] info

[16] Zenye kwenda na hujificha wakati wa kuchwa kwake, kama paa wanapo jificha kwenye mapango yao.

التفاسير: