แปล​ความหมาย​อัลกุรอาน​ - คำแปลภาษาสวาฮิลี - อะลีย์ มุห์สิน อัลบัรวานีย์

external-link copy
76 : 10

فَلَمَّا جَآءَهُمُ ٱلۡحَقُّ مِنۡ عِندِنَا قَالُوٓاْ إِنَّ هَٰذَا لَسِحۡرٞ مُّبِينٞ

Basi ilipo wajia Haki kutoka kwetu walisema: Hakika huu ni uchawi dhaahiri. [76] info

[76] Ilipo dhihiri Haki yetu kwa mkono wa Musa, ule muujiza wa Musa - nao ni fimbo kugeuka nyoka mbele ya macho yao - wao walisema: Hakika huu ni uchawi ulio dhaahiri!

التفاسير: