Përkthimi i kuptimeve të Kuranit Fisnik - Përkthimi suahilisht - Ali Muhsin el-Beruani

An-Nazi'at

external-link copy
1 : 79

وَٱلنَّٰزِعَٰتِ غَرۡقٗا

Naapa kwa wanao komoa kwa nguvu! [1] info

[1] Ninaapa kwa kila kilicho pewa uwezo wa kuving'oa vitu kutokana na pahala pao kwa nguvu,

التفاسير: