Vertaling van de betekenissen Edele Qur'an - Swahili vertaling - Abdoellah Mohammed en Nasser Khamees

external-link copy
13 : 8

ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمۡ شَآقُّواْ ٱللَّهَ وَرَسُولَهُۥۚ وَمَن يُشَاقِقِ ٱللَّهَ وَرَسُولَهُۥ فَإِنَّ ٱللَّهَ شَدِيدُ ٱلۡعِقَابِ

Hayo yaliyojiri ya kuwapiga makafiri vichwa vyao, shingo zao na ncha zao ni kwa kuwa wao walienda kinyume na amri ya Mwenyezi Mungu na Mtume Wake. Na yoyote mwenye kwenda kinyume cha amri ya Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, basi Mwenyezi Mungu ni Mkali wa mateso kwake ulimwenguni na Akhera. info
التفاسير: