クルアーンの対訳 - スワヒリ語対訳 - Ali Muhsen Alberwany

external-link copy
39 : 79

فَإِنَّ ٱلۡجَحِيمَ هِيَ ٱلۡمَأۡوَىٰ

Kwa hakika Jahannamu ndiyo makaazi yake! [39] info

[39] Basi Moto wa Jahannamu unao babua upepo wake ndio makaazi yake wala hana mengineyo.

التفاسير: