Fassarar Ma'anonin Alqura'ni - Fassarar Sawahil - Ali Muhsin al-Barwani

external-link copy
43 : 22

وَقَوۡمُ إِبۡرَٰهِيمَ وَقَوۡمُ لُوطٖ

Na watu wa Ibrahim na watu wa Lut'i info

Na kaumu ya Ibrahim walimkanusha Mtume wao Ibrahim, na kaumu Lut'i walimfanyia hayo hayo Mtume wao Lut'i.

التفاسير: