የቅዱስ ቁርዓን ይዘት ትርጉም - የስዋሒሊኛ ትርጉም - በዐሊይ ሙሕሲን አል-በርዋኒይ

external-link copy
33 : 75

ثُمَّ ذَهَبَ إِلَىٰٓ أَهۡلِهِۦ يَتَمَطَّىٰٓ

Kisha akenda kwa ahali zake kwa matao. [33] info

[33] Na akatoka kwenda kwa watu wake wa nyumbani kwa maringo na kujitapa.

التفاسير: