Қуръони Карим маъноларининг таржимаси - Савоҳилча таржима

Al-Falaq

external-link copy
1 : 113

قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلۡفَلَقِ

Sema, ewe Mtume, «Najilinda na kutaka hifadhi kwa Bwana wa asubuhi. info
التفاسير:

external-link copy
2 : 113

مِن شَرِّ مَا خَلَقَ

«Kutokana na shari la viumbe na udhia wao info
التفاسير:

external-link copy
3 : 113

وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ

«Na shari la usiku wenye giza lingi ungiapo na ujikitapo na mashari na maudhi mbalimbali yaliyomo ndani yake. info
التفاسير:

external-link copy
4 : 113

وَمِن شَرِّ ٱلنَّفَّٰثَٰتِ فِي ٱلۡعُقَدِ

«Na shari la wchawi wenye kupuliza kwenye mafundo wanayoyafunga kwa lengo la kuroga. info
التفاسير:

external-link copy
5 : 113

وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ

«Na shari la hasidi mwenye kutukia watu, anapowahusudu na kuwadhuru, kwa kutaka neema za Mwenyezi Mungu Aliyewaneemesha ziwaondokee.» info
التفاسير: