قۇرئان كەرىم مەنىلىرىنىڭ تەرجىمىسى - سەۋاھىلچە تەرجىمىسى. ئەلىي مۇھسىن بەرۋانىي قىلغان

external-link copy
2 : 11

أَلَّا تَعۡبُدُوٓاْ إِلَّا ٱللَّهَۚ إِنَّنِي لَكُم مِّنۡهُ نَذِيرٞ وَبَشِيرٞ

Ili msimuabudu isipo kuwa Allah, Mwenyezi Mungu. Hakika mimi kwenu ni mwonyaji na mbashiri nitokae kwake. info

Ewe Nabii! Waongoze watu kwa hii Qur'ani, na uwaambie: Msimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu tu. Na hakika mimi nimetumwa kutoka kwake ili nikuonyeni msikufuru ikakupateni adhabu yake, na nikupeni bishara njema kuwa mkiamini na mkat'ii, basi mtapata malipo yake..

التفاسير: