Kur'an-ı Kerim meal tercümesi - Savahili Dili Tercüme - Ali Muhsin Al-Barvani

external-link copy
118 : 7

فَوَقَعَ ٱلۡحَقُّ وَبَطَلَ مَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ

Kweli ikathibiti na yakabat'ilika waliyo kuwa wakiyatenda. info

Basi Haki ikathibiti na kudhihiri upande wa Musa a.s. na ukabwatika udanganyifu wa wachawi.

التفاسير: