Kur'an-ı Kerim meal tercümesi - Savahili Dili Tercüme - Ali Muhsin Al-Barvani

external-link copy
165 : 37

وَإِنَّا لَنَحۡنُ ٱلصَّآفُّونَ

Na hakika bila ya shaka sisi ndio wajipangao safu. info

Na sisi tumejipanga safu wenyewe katika misimamo ya kutumika daima.

التفاسير: