Kur'an-ı Kerim meal tercümesi - Savahili Dili Tercüme - Ali Muhsin Al-Barvani

Al-Kauthar

external-link copy
1 : 108

إِنَّآ أَعۡطَيۡنَٰكَ ٱلۡكَوۡثَرَ

Hakika tumekupa kheri nyingi. info

Sisi hakika tumekupa kheri nyingi za daima katika dunia na Akhera.

التفاسير:

external-link copy
2 : 108

فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنۡحَرۡ

Basi swali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi. info

Ilivyo kuwa umepewa hayo, basi dumisha Swala kwa Mola wako Mlezi kwa usafi kabisa, na uchinje dhabihu wako kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa aliyo kupa ya ukarimu, na akakukhusisha wewe khasa kwa kukupa kheri.

التفاسير:

external-link copy
3 : 108

إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ ٱلۡأَبۡتَرُ

Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu. info

Hakika huyo anaye kuchukia ndiye aliye katika na kila kheri.

التفاسير: