വിശുദ്ധ ഖുർആൻ പരിഭാഷ - സവാഹിലി വിവർത്തനം - റുവ്വാദ് തർജമ സെൻ്റർ

external-link copy
257 : 2

ٱللَّهُ وَلِيُّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ يُخۡرِجُهُم مِّنَ ٱلظُّلُمَٰتِ إِلَى ٱلنُّورِۖ وَٱلَّذِينَ كَفَرُوٓاْ أَوۡلِيَآؤُهُمُ ٱلطَّٰغُوتُ يُخۡرِجُونَهُم مِّنَ ٱلنُّورِ إِلَى ٱلظُّلُمَٰتِۗ أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلنَّارِۖ هُمۡ فِيهَا خَٰلِدُونَ

Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wa walioamini. Huwatoa hadi katika giza mbalimbali kwenda katika nuru.[1] Lakini wale waliokufuru, walinzi wao ni Taaghut. Huwatoa katika nuru kwenda hadi katika giza mbalimbali. Hao ndio wenza wa Moto, humo watadumu. info

[1] Hapa neno 'nuru' liko katika hali ya umoja, ilhali 'giza' liko kwa wingi, kwa sababu haki ni moja tu, nao ukafiri ni aina mbalimbali. (Tafsir Ibn Kathir)

التفاسير: