വിശുദ്ധ ഖുർആൻ പരിഭാഷ - സവാഹിലി വിവർത്തനം - റുവ്വാദ് തർജമ സെൻ്റർ

external-link copy
207 : 2

وَمِنَ ٱلنَّاسِ مَن يَشۡرِي نَفۡسَهُ ٱبۡتِغَآءَ مَرۡضَاتِ ٱللَّهِۚ وَٱللَّهُ رَءُوفُۢ بِٱلۡعِبَادِ

Na katika watu kuna yule anayeiuza nafsi yake kwa kutaka radhi za Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja wake.[1] info

[1] Mwenyezi Mungu alipoeleza katika Aya iliyotangulia hali ya mtu anayeitoa dini yake kwa ajili ya mambo ya kidunia. Akaitaja katika Aya hii hali ya mtu anayeyatoa maisha yake ya duniani, nafsi yake na mali yake ili kutafuta dini. (Tafsir Ar-Raazii)

التفاسير: