വിശുദ്ധ ഖുർആൻ പരിഭാഷ - സവാഹിലി വിവർത്തനം - റുവ്വാദ് തർജമ സെൻ്റർ

external-link copy
206 : 2

وَإِذَا قِيلَ لَهُ ٱتَّقِ ٱللَّهَ أَخَذَتۡهُ ٱلۡعِزَّةُ بِٱلۡإِثۡمِۚ فَحَسۡبُهُۥ جَهَنَّمُۖ وَلَبِئۡسَ ٱلۡمِهَادُ

Na akiambiwa, “mche Mwenyezi Mungu,” hupandwa na mori wa kutenda madhambi. Basi huyo kinachomtosha ni Jahannam. Napo hakika ni pahali pabaya mno pa kupumzikia.[1] info

[1] Vipi hali yako unapooambiwa kumcha Mwenyezi Mungu? Ilipokewa kwamba 'Umar Ibn Al-Khattwab - Mwenyezi Mungu amwiye radhi - aliambiwa, "Ittaqillah (mche Mwenyezi Mungu"). Kwa hivyo, akaliweka shavu lake juu ya ardhi kwa kumnyenyekea Mwenyezi Mungu.(Tafsir Assam'aanii)

التفاسير: