ការបកប្រែអត្ថន័យគួរអាន - ការបកប្រែជាភាសាស្វាហុីលី - អាលី ម៉ុហសុីន អាល់ពើវ៉ានី

external-link copy
8 : 10

أُوْلَٰٓئِكَ مَأۡوَىٰهُمُ ٱلنَّارُ بِمَا كَانُواْ يَكۡسِبُونَ

Hao, makaazi yao ni Motoni kwa sababu ya waliyo kuwa wakiyachuma. info

Watu hao, makaazi yao watakapo dumu ni Motoni. Hayo ni malipo kwa waliyo yachuma ya ukafiri na vitendo viovu.

التفاسير: