クルアーンの対訳 - スワヒリ語対訳 - Ali Muhsen Alberwany

external-link copy
6 : 75

يَسۡـَٔلُ أَيَّانَ يَوۡمُ ٱلۡقِيَٰمَةِ

Anauliza: Lini itakuwa hiyo Siku ya Kiyama? [6] info

[6] Anauliza kwa kuona haiwezi kutokea saa ya Kiyama: Lini itakuwa hiyo Siku ya Kiyama?

التفاسير: