クルアーンの対訳 - スワヒリ語対訳 - Ali Muhsen Alberwany

external-link copy
21 : 35

وَلَا ٱلظِّلُّ وَلَا ٱلۡحَرُورُ

Wala kivuli na joto. [21] info

[21] Hawawezi kulingana wakawa sawa:- asiye hidika kuifuata Haki kwa ujinga wake na mwenye kufuata Njia ya uwongofu kwa ujuzi wake; wala uwongo na kweli; wala kivuli na upepo umoto

التفاسير: