クルアーンの対訳 - スワヒリ語対訳 - Ali Muhsen Alberwany

external-link copy
30 : 26

قَالَ أَوَلَوۡ جِئۡتُكَ بِشَيۡءٖ مُّبِينٖ

Akasema: Je! Ijapo kuwa nitakuletea kitu cha kubainisha wazi? [30] info

[30] Musa akasema kwa upole kwa kutumai asaa akaamini: Utanitia gerezani hata nikikuletea ushahidi mkubwa wa ukweli wa haya niyasemayo?

التفاسير: