クルアーンの対訳 - スワヒリ語対訳 - Abdullah Muhammad and Nasir Khamis

external-link copy
30 : 25

وَقَالَ ٱلرَّسُولُ يَٰرَبِّ إِنَّ قَوۡمِي ٱتَّخَذُواْ هَٰذَا ٱلۡقُرۡءَانَ مَهۡجُورٗا

Na Mtume atasema akishtakia matendo ya watu wake, «Ewe Mola wangu! Kwa kweli watu wangu wameiacha hii Qur’ani na wameigura, wameendelea sana katika kuipa mgongo na kuacha kuizingatia na kuitumia na kuifikisha. Katika aya hii pana kitisho kikubwa kwa anayeigura Qur’ani na asiitumie. info
التفاسير: