Traducción de los significados del Sagrado Corán - Traducción al suajili - Ali Muhsen Alberwany

external-link copy
130 : 26

وَإِذَا بَطَشۡتُم بَطَشۡتُمۡ جَبَّارِينَ

Na mnapo tumia nguvu mnatumia nguvu kwa ujabari. info

Na mnapo ingia kutesa, mnapita kiasi katika uasi na uvamizi wa jeuri, mnauwa, na mnapiga kwa chuki bila ya huruma.

التفاسير: