Traducción de los significados del Sagrado Corán - Traducción al idioma swahili- Abdullah Mohamad y Naser Jamis

external-link copy
46 : 25

ثُمَّ قَبَضۡنَٰهُ إِلَيۡنَا قَبۡضٗا يَسِيرٗا

Kisha kivuli kinapotea kidogo- kidogo, kila kunapoongezeka kupaa juu kwa jua ndipo kunapoongezeka kupungua kwake. Hilo ni miongoni mwa dalili za uweza wa Mwenyezi Mungu, ukubwa Wake na kwamba Yeye Peke Yake Ndiye Anayestahiki kuabudiwa, si mwengine. info
التفاسير: