Translation of the Meanings of the Noble Qur'an - Swahili translation - Rowad Translation Center

external-link copy
64 : 6

قُلِ ٱللَّهُ يُنَجِّيكُم مِّنۡهَا وَمِن كُلِّ كَرۡبٖ ثُمَّ أَنتُمۡ تُشۡرِكُونَ

Sema: Mwenyezi Mungu hukuokoeni kutoka katika hayo, na kutoka kila mashaka, na kisha nyinyi mnamshirikisha! info
التفاسير: