Translation of the Meanings of the Noble Qur'an - Swahili translation - Rowad Translation Center

external-link copy
139 : 4

ٱلَّذِينَ يَتَّخِذُونَ ٱلۡكَٰفِرِينَ أَوۡلِيَآءَ مِن دُونِ ٱلۡمُؤۡمِنِينَۚ أَيَبۡتَغُونَ عِندَهُمُ ٱلۡعِزَّةَ فَإِنَّ ٱلۡعِزَّةَ لِلَّهِ جَمِيعٗا

Wale ambao huwafanya makafiri kuwa ndio marafiki wandani badala ya Waumini. Je, wanataka wapate kwao utukufu? Basi hakika utukufu wote ni wa Mwenyezi Mungu. info
التفاسير: