Translation of the Meanings of the Noble Qur'an - Swahili translation - Rowad Translation Center

external-link copy
15 : 2

ٱللَّهُ يَسۡتَهۡزِئُ بِهِمۡ وَيَمُدُّهُمۡ فِي طُغۡيَٰنِهِمۡ يَعۡمَهُونَ

Mwenyezi Mungu atawadhihaki wao na atawaacha katika upotovu wao wakitangatanga ovyo. info
التفاسير: