Translation of the Meanings of the Noble Qur'an - Swahili translation - Rowad Translation Center

external-link copy
13 : 2

وَإِذَا قِيلَ لَهُمۡ ءَامِنُواْ كَمَآ ءَامَنَ ٱلنَّاسُ قَالُوٓاْ أَنُؤۡمِنُ كَمَآ ءَامَنَ ٱلسُّفَهَآءُۗ أَلَآ إِنَّهُمۡ هُمُ ٱلسُّفَهَآءُ وَلَٰكِن لَّا يَعۡلَمُونَ

Na wanapoambiwa: Aminini kama walivyoamini watu. Husema: Tuamini kama walivyoamini wapumbavu? Hakika wao ndio wapumbavu, lakini hawajui tu.[1] info
التفاسير: