Translation of the Meanings of the Noble Qur'an - Swahili translation - Rowad Translation Center

external-link copy
11 : 2

وَإِذَا قِيلَ لَهُمۡ لَا تُفۡسِدُواْ فِي ٱلۡأَرۡضِ قَالُوٓاْ إِنَّمَا نَحۡنُ مُصۡلِحُونَ

Na wanapoambiwa: Msifanye uharibifu katika ardhi. Husema: Bali sisi ni watengenezaji.[1] info

[1] Na kujengeka kwa kitendo hiki (wanapoambiwa) katika hali ya kutomtaja anayewaambia, kunaashiria kwamba wao humuasi yeyote yule anayewaambia hata awe ni nani. (Tafsir Nidhaam Addurar fii Tanasub Al-Aayat Wassuwar cha Al-Baqaa'ii)

التفاسير: