Translation of the Meanings of the Noble Qur'an - Swahili translation - Rowad Translation Center

external-link copy
10 : 2

فِي قُلُوبِهِم مَّرَضٞ فَزَادَهُمُ ٱللَّهُ مَرَضٗاۖ وَلَهُمۡ عَذَابٌ أَلِيمُۢ بِمَا كَانُواْ يَكۡذِبُونَ

Nyoyoni mwao mna maradhi[1], na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uongo.[2] info

[1] Kilichokusudiwa na maradhi hapa ni maradhi ya shaka, dhana potovu na unafiki. (Tafsir Assa'dii).
[2] Al-Junayd alisema: Ugonjwa wa nyoyo ni kufuata matamanio, kama vile ugonjwa wa viungo ni yale maradhi ya kiwiliwili. (Tafsir Al-Qurtubii).

التفاسير: