Translation of the Meanings of the Noble Qur'an - Swahili translation - Rowad Translation Center

external-link copy
49 : 12

ثُمَّ يَأۡتِي مِنۢ بَعۡدِ ذَٰلِكَ عَامٞ فِيهِ يُغَاثُ ٱلنَّاسُ وَفِيهِ يَعۡصِرُونَ

Kisha baada ya haya utakuja mwaka ambao ndani yake watu watasaidiwa na watakamua. info
التفاسير: