Translation of the Meanings of the Noble Qur'an - Swahili translation - Abdullah Muhammad & Naser Khamis

external-link copy
29 : 25

لَّقَدۡ أَضَلَّنِي عَنِ ٱلذِّكۡرِ بَعۡدَ إِذۡ جَآءَنِيۗ وَكَانَ ٱلشَّيۡطَٰنُ لِلۡإِنسَٰنِ خَذُولٗا

Amenipoteza rafiki huyu na kuniepusha na Qur’ani baada ya kunijia» Na Shetani aliyefukuzwa kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu amekuwa daima ni mwenye kumtupa mwanadamu. Katika aya hizi kuna onyo kwamba rafiki mbaya asifuatwe, kwani yeye huenda akawa ni sababu ya kumtia, yule anayefuatana na yeye, Motoni. info
التفاسير: