Übersetzung der Bedeutungen von dem heiligen Quran - Die Übersetzung in Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani.

external-link copy
100 : 21

لَهُمۡ فِيهَا زَفِيرٞ وَهُمۡ فِيهَا لَا يَسۡمَعُونَ

Lao wao humo ni kupiga mayowe, na wala hawatasikia (jenginelo). info

Humo watatoa pumzi zitokazo vifuani kwa sauti kama ya mwenye kukabwa, kwa dhiki watayo pata, na hawatasikia la kuwafurahisha.

التفاسير: