ترجمة معاني القرآن الكريم - الترجمة السواحلية - علي محسن البرواني

external-link copy
112 : 23

قَٰلَ كَمۡ لَبِثۡتُمۡ فِي ٱلۡأَرۡضِ عَدَدَ سِنِينَ

Atasema: Mlikaa muda gani katika ardhi kwa hisabu ya miaka?. info

Mwenyezi Mungu atawaambia makafiri: Mliishi miaka mingapi huko duniani?

التفاسير: