ترجمة معاني القرآن الكريم - الترجمة السواحلية - علي محسن البرواني

سورة الأنبياء - Al-Anbiya

external-link copy
1 : 21

ٱقۡتَرَبَ لِلنَّاسِ حِسَابُهُمۡ وَهُمۡ فِي غَفۡلَةٖ مُّعۡرِضُونَ

IMEWAKARIBIA watu hisabu yao, nao wamo katika mghafala wanapuuza. [1] info

[1] Umewakaribia washirikina wakati wao wa kuhisabiwa Siku ya Kiyama, nao hali wameghafilika na kitisho chake, wanapuuza kuiamini.

التفاسير: