《古兰经》译解 - 斯瓦希里语翻译-阿里·穆哈森·伯瓦尼

external-link copy
21 : 8

وَلَا تَكُونُواْ كَٱلَّذِينَ قَالُواْ سَمِعۡنَا وَهُمۡ لَا يَسۡمَعُونَ

Wala msiwe kama wale wanao sema: Tumesikia, na kumbe hawasikii. info

Wala msiwe kama wanaafiki wanao sema: Tumeisikia Haki na tumefahamu. Lakini hawaifuati wala hawaiamini. Basi wamekuwa kama wasio sikia.

التفاسير: