《古兰经》译解 - 斯瓦希里语翻译-阿里·穆哈森·伯瓦尼

An-Najm

external-link copy
1 : 53

وَٱلنَّجۡمِ إِذَا هَوَىٰ

Naapa kwa nyota inapo tua! [1] info

[1] Ninaapa kwa nyota inapo tua kwa kuchwa, ya kwamba Muhammad hakuiacha Njia iliyo sawa ya kufuata Haki, na wala hakupata kuitakidi upotovu.

التفاسير: