《古兰经》译解 - 斯瓦希里语翻译-阿里·穆哈森·伯瓦尼

external-link copy
63 : 3

فَإِن تَوَلَّوۡاْ فَإِنَّ ٱللَّهَ عَلِيمُۢ بِٱلۡمُفۡسِدِينَ

Na kama wakigeuka basi Mwenyezi Mungu anawajua waharibifu. info

Wakiikataa Haki baada ya kwisha wadhihirikia, na wasiache upotovu wao, basi hao ndio waharibifu. Na Mwenyezi Mungu anawajua.

التفاسير: