《古兰经》译解 - 斯瓦希里语翻译-阿里·穆哈森·伯瓦尼

external-link copy
48 : 3

وَيُعَلِّمُهُ ٱلۡكِتَٰبَ وَٱلۡحِكۡمَةَ وَٱلتَّوۡرَىٰةَ وَٱلۡإِنجِيلَ

Na atamfunza kuandika na Hikima na Taurati na Injili. info

Na Mwenyezi Mungu atamfunza mtoto huyu aliye zaliwa kuandika, na ilimu njema yenye manufaa, na Taurati, Kitabu cha Musa a.s., na Injili atayo mfunulia yeye.

التفاسير: