《古兰经》译解 - 斯瓦希里语翻译 - 阿布杜拉·穆罕默德和纳赛尔·海米斯。

external-link copy
66 : 5

وَلَوۡ أَنَّهُمۡ أَقَامُواْ ٱلتَّوۡرَىٰةَ وَٱلۡإِنجِيلَ وَمَآ أُنزِلَ إِلَيۡهِم مِّن رَّبِّهِمۡ لَأَكَلُواْ مِن فَوۡقِهِمۡ وَمِن تَحۡتِ أَرۡجُلِهِمۚ مِّنۡهُمۡ أُمَّةٞ مُّقۡتَصِدَةٞۖ وَكَثِيرٞ مِّنۡهُمۡ سَآءَ مَا يَعۡمَلُونَ

Na lau kama wao wangaliyatekeleza yaliyomo ndani ya Taurati na Injili na yale uliyoteremshiwa wewe, ewe Mtume, nayo ni Qur’ani, wangalipata riziki kutoka kila njia: tukawateremshia mvua na kuwaoteshea matunda. Na haya ni malipo ya duniani. Na kwa hakika, miongoni mwa watu waliepewa Kitabu, lipo kundi la wastani lililojikita kwenye haki. Na wengi kati yao , vitendo vyao ni viovu na wamepotea njia ya sawa. info
التفاسير: