Salin ng mga Kahulugan ng Marangal na Qur'an - Salin sa Wikang Swahili ni Ali Mohsin Al-Barwani

external-link copy
64 : 56

ءَأَنتُمۡ تَزۡرَعُونَهُۥٓ أَمۡ نَحۡنُ ٱلزَّٰرِعُونَ

Je! Ni nyinyi mnayo yaotesha au ni Sisi ndio wenye kuotesha? [64] info

[64] Ni nyinyi mnao ifanya imee au ni Sisi peke yetu ndio tunaifanya imee?

التفاسير: