Salin ng mga Kahulugan ng Marangal na Qur'an - Salin sa Wikang Swahili ni Ali Mohsin Al-Barwani

external-link copy
3 : 53

وَمَا يَنطِقُ عَنِ ٱلۡهَوَىٰٓ

Wala hatamki kwa matamanio. [3] info

[3] Wala halitoki katika anayo yatamka ya Qur'ani kwa mapendo ya nafsi yake.

التفاسير: