Salin ng mga Kahulugan ng Marangal na Qur'an - Salin sa Wikang Swahili ni Ali Mohsin Al-Barwani

external-link copy
122 : 11

وَٱنتَظِرُوٓاْ إِنَّا مُنتَظِرُونَ

Na ngojeni, na sisi tunangoja. info

Na yangojeni hayo mnayo yangojea, na sisi kadhaalika tunangojea ahadi ya Mwenyezi Mungu, kuwa wito wetu utashinda na tutawashinda maadui zake.

التفاسير: