د قرآن کریم د معناګانو ژباړه - سواحلي ژباړه - د رواد الترجمة مرکز

external-link copy
162 : 2

خَٰلِدِينَ فِيهَا لَا يُخَفَّفُ عَنۡهُمُ ٱلۡعَذَابُ وَلَا هُمۡ يُنظَرُونَ

Watadumu humo. Hawatapunguziwa adhabu wala hawatapewa muda wa kupumzika.[1] info

[1] Hawatapumzishwa, yani kupewa muhula, kwa sababu wakati wa muhula ambao ulikuwa duniani nao ulikwisha pita. (Tafsir Assa'dii)

التفاسير: