د قرآن کریم د معناګانو ژباړه - سواحلي ژباړه - علی محسن البرواني

external-link copy
21 : 79

فَكَذَّبَ وَعَصَىٰ

Lakini aliikadhibisha na akaasi. info

Lakini Firauni alimkadhibisha Musa kwa aliyo kuja nayo, na akamuasi kwa aliyo mwitia.

التفاسير: