पवित्र कुरअानको अर्थको अनुवाद - स्वाहिली अनुवाद : अली मुहसिन बरवानी ।

external-link copy
49 : 77

وَيۡلٞ يَوۡمَئِذٖ لِّلۡمُكَذِّبِينَ

Ole wao siku hiyo hao wanao kanusha! [49] info

[49] Wataangamia siku wanao kadhibisha amri za Mwenyezi Mungu na makatazo yake.

التفاسير: